Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Majaliwa awajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko Hanang

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.

Majeruhi hao wanapatiwa matibabu bure na Serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa manyara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *