Mahakama Imefuta Maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA la kuwavua uanachama kina Halima Mdee na Wenzake 18 na hivyo wanaendelea kuwa Wanachama wa CHADEMA. Tena kwa mantiki hiyo wanaendelea kuwa Wabunge hadi 2025.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz