Mafuvu ya watanzania kurejeshwa nchini

Rais wa Ujerumani, Frank- Walter Steinmeier ameiambia Tanzania kuwa yeye kama Rais atakaa na wasaidizi wake na kuona namna ya kurudisha mafuvu ya watanzania kwani hapo nyuma Tanzania ilitawaliwa na Ujerumani na hivyo kupelekea mambo mengi kutokea baina ya nchi hizi mbili.

Pia marais wao wamejadili ushirikiano wa kiuchumi na namna ya kuboresha ushirikiano ya nchi hizo.


Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Frank- Walter Steinmeier ameyasema hayo Leo Oktoba 31, 2023 nchini Tanzania.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *