Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Blasius Chatanda amesema Madreva tisa wa Magari ya Abiria mkoani Kagera, wamekamatwa katika msako maalumu wa ukaguzi wa magari kwa makosa ya kuendesha vyombo vya moto.
Miongoni mwa makosa hayo ni kuendesha wakiwa wamelewa na wengine kuendesha mwendokasi, hali ambayo ni hatarishi kwa abiria wanaofanya safari mkoani humo.
Kamanda Chatanda amethibitisha kukamatwa kwa madereva hao katika barabara kuu ya Nyakanazi hadi Bukoba na yale yanayoenda maeneo mengine ya vijijini. na kutoa majina ya Madreva waliofungiwa leseni zao za Udreva, Madreva hao ni
1. Frank Judika Samwel mwenye driving licence namba 4001427021
2. Hashim Mikidadi Kitwe mwenye driving licence namba 4006135351
3. Rajabu Rashid Mwenda mwenye driving licence namba 4000726023
4. Eden Herbert Tarimo mwenye driving licence namba 4000114312
5. Gerald Israel Suluba mwenye driving licence namba 4006985519
6. Aizack Stanislaus Henrico huyu hana driving kabisa.
7. Iddi Juma Ramadhan mwenye driving licence namba 4001103998
8. Focus Rwehumbiza Bernad mwenye driving licence namba 4006957098
9. Wilfred Rweyendera Rwegasira mwenye driving licence namba 4000328053