MADONNA MWENYE MIAKA 66 AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA KIJANA MWENYE MIAKA 28…..

Mwanamuziki maarufu na Mkongwe wa muziki wa Pop Duniani, Madonna Louise Ciccone mwenye umri wa miaka 66 inasemekana kuwa amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake Akeem Morris mwenye umri wa miaka 28.

Madonna ambaye kazaliwa mwezi Agosti 16 1958 amewahi kuolewa ndoa mbili, ya kwanza na mwigizaji Sean Penn kuanzia mwaka 1985 hadi 1989 na baadaye na director Guy Ritchie ambaye walioana mwaka 2000 hadi 2008 lakini amewahi kunukuliwa akisema anazijutia ndoa zake zote mbili zilizopita.

Morris anaingia kwenye headline ya ‘list’ ya wapenzi wa Madonna ambao amewahi kutoka nao akiwemo  bondia Joshua Popper na dancer Ahlamalik, Mpenzi wake wa sasa wanapishana miaka 38.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *