Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Madonna alipoteza fahamu siku mbili

Mkongwe wa muziki Madonna amefunguka juu ya tatizo lake la kiafya la hivi karibuni, ambalo lilimlazimu kukatisha tour yake ya “Celebration baada ya kupata maambukizi ya bakteria.

Maddona(65) ameeleza kuwa alilazwa hopsitali baada ya kupoteza fahamu kutokana na maambukizi aliyopata.

“Ukweli ni kwamba niko hapa sasa hivi ni muujiza ya mfalme,” alisema mkongwe huyo wikiendi iliyopita katika shoo yake huko Brooklyn, na kubainisha mwezi juni alilazimika kukatisha tamasha lake la “Celebration” world tour baada ya hali yake kuwa mbaya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *