Staa wa muziki Madee Ali leo ametembelea katika ofisi za BASATA na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji BASATA Dkt. Kedmon Mapana
Sambamba na hilo Msanii huyu amekabidhiwa kitabu cha mwongozo wa Maadili katika kazi za Sanaa, lengo ikiwa ni kumsaidia Msanii kuwa kipaumbele katika kutunza na kuuenzi Utamaduni wa Mtanzania.
Miezi kadhaa msanii huyo alitozwa faini ya Milioni tatu na basata baada ya kuachia kazi ya sanaa iliyokosa madili na kutakiwa kulipa faini hiyo ndio aweze kuendelea na kazi zas sanaa, Madee alifanikiwa kulipa faini hiyo.