Staa wa muziki Justin Bieber, ameibua hisia kali kwa mashabiki zake baada ya siku ya jana Jumapili, Aprili 28,2024 kuweka picha zake akimwaga machozi kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.
Uvumi uliopo ni kuwa staa huyo na mke wake Hailey wapo kwenye malumbano na kumetokea mkanganyika kati yao kwa sasa.
Septemba 2018 wawili hao walifunga ndoa na mpaka sasa hawajapata mtoto.