Machester United kumsaini Harry Kane?!

Klabu ya soka ya Machester United imedaiwa ipo tayari kufanya kila liwezalo kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich na Uingereza Harry Kane, 30 msimu huu wa joto.

Hayo yamebainishwa na mtandao wa Give Me Sport

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *