Lupita Nyongo atemana na mpenzi wake

Staa wa filamu Lupita Nyongo ameweka wazi kutemana na mpenzi wake Selama aliyekuwa naye kwa muda mpaka pale alipotangaza 2022 kuwa wapo pamoja.



Lupita ametaja sababu ya kuachana na mwanaume huyo kuwa ni udanganyifu, kitu ambacho kimemfanya akose uaminifu kwake. Lupita amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya jana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *