Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Loui apaza sauti “Tunayopitia Mungu anajua”

Staa wa muziki Loui ameweka ujumbe ambao umewaacha mashabiki zake midomo wazi kwa kudai anayoyapitia ni mengi kwa sasa na amechoka.

“Msituone tunafuraha, wengine tunayoyapitia anajua Mungu na ndugu zetu wa karibu. Soon nitaongea mengi yanayonisibu, nitawaambia mashabiki zangu ukweli juu ya maisha ya muziki wangu,” ameandika staa huyo katika ukurasa wake wa Instagram.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *