Lizzo aandika ujumbe mzito, huwenda akaachana muziki

Staa wa muziki kutoka Marekani, Lizzo, ameweka wazi juu ya kutaka kuachana na tasnia ya muziki, kwa kile anachodai mambo yamekuwa mengi juu yake.

Lizzo amebainisha hayo kupitia chapisho lake la Ijumaa, Machi 29, ambapo amebainisha kuwa amechoka kuburuzwa na kila mtu, na naona ni kama Dunia haimtaki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *