Lionel Messi aandika historia tuzo za Ballon D’or

Lionel Messi anaibuka kinara kwa kuondoka na tuzo ya BALLON D’OR kwa wanaume 2023! Na staa huyo anakamilisha kuwa na jumla ya tuzo nane.

Wengine walioshinda ni Jude Bellingham ‘Kopa Trophy’, Vinijr ameshinda tuzo ya Socrates, Emiliano Martinez kipa bora,  Erling Haaland amepata ‘Gerd Müller’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *