Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Linex: Muziki unabadilika sana, nitabaki njia yangu

Msanii mkongwe wa bongoflava, Linex amefunguka kupitia kipindi cha #PowerFesh cha Jambo FM kuhusu muziki wa sasa unavyozidi kubadilika siku hadi siku.

“Tunavokwenda huko mbele itatakiwa producer awe na haki pia kwenye wimbo wako”

Ametusanua kuwa kwa sasa msanii anaweza kufanya biashara ya vitu mbalimbali kupitia muziki wake tofauti na zamani.

Comments are closed.