Lile ni goli halali- Mwana FA

Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh, Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA ameweka wazi kuongea na viongozi wa Yanga juu ya Goli alilofunga Azi Ki kukataliwa.

“Nimetoka kuongea na viongozi wa
@YoungAfricansSC
na tumekubaliana wanaiandikia CAF kulalamika kuhusiana na goli la wazi lililokataliwa. Haitabatilisha matokeo,lakini angalau tuweke kumbukumbu sawa na ikithibitika hata mwamuzi achukuliwe hatua stahiki. LILE LILIKUWA GOLI HALALI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *