Rapa wa Marekani Lil Wayne ameweka wazi kuwa rapa mwenzie Drake anachukiwa na watu kwa sababu ya rangi ya ngozi yake.
Akipiga story kupitia Podcast ya Richard Sherman, Lil Wayne anasema tangu enzi historia ya Marekani inaonesha kuchukia wenye rangi ya ngozi kama Drake kwa sababu hata yeye sio Light Skinned ndio maana hachukiwi.