Lil Jon sasa amekuwa kijana wa Kiislamu

Msanii wa muziki na mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Marekani, Lil Jon amebadili dini na sasa amekuwa Muislamu.

Lil Jon amesilimishwa katika Msikiti wa King Fahad uliopo maeneo ya Los Angeles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *