Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Leo Mtenga alikuwa anatunukiwa Shahada ya Sayansi ya Kilimo cha Bustan

Mtanzania, Clemence Mtenga aliyeuawa kwenye mapigano yanaypendelea baina ya Israel na kundi la Hamas alipaswa kuhitimu leo kwenye mahafali ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA).

Jina la Mtenga liko kwenye nafasi ya 18 ya orodha ya wanafunzi wanaotarajia kutunukiwa Shahada ya Sayansi ya Kilimo cha Bustani.

Mtenga alikuwa Israel akifanya mafunzo kwa vitendo (internship) baada ya kukamilisha masomo chuoni SUA.

Mahafali ya chuo cha SUA yanafanyika leo mkoani Morogoro.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *