Lady Gaga hatolipa Bil. 1.2 kisa mbwa

Unalikumbuka lile tukio la msanii Lady Gaga kupotelewa na mbwa wake waitwao Koji na Gustav, mwaka 2021!, ambapo Lady Gaga aliahidi kutoa kiasi cha $500,000 sawa na zaidi ya Tsh/= Bilioni 1.2 kwa atakayefanikisha kuwapata.

Baada ya hapo mwanamke aitwaye Jennifer McBride alirudisha mbwa hao na kutaka kupewa pesa hiyo ndio akafungua kesi Mahakamani, ila mambo yamebadilika kwani, hakimu amemwambia Bi. McBride hatakiwi kudai pesa hizo kwa sababu ya kurudisha mbwa ambao aliwachukua ni wa wizi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *