Kwenye mafanikio haya mnyama tumtoe tu!!

Kuelekea uzinduzi wa AFL 202,3 haya ni mafanikio ya timu zinazoshiriki katika mashindano ya AFRICA na DUNIA.

AL-AHLY

Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa Caf Winners Cup mara 4, Caf confederation cup mara 1 mwaka 2014 CAF super Cup mara 8 Afro Asian Cup mara 1, Arab club champions cup mara 1, Arab Super cup mara 2 Fifa Club World Cup nafasi ya 3.


TP MAZEMBE

Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 5, Winners Cup mara 1 mwaka 1980, Caf confederation cup mara 2 mwaka 2016 na 2017 CAF super Cup mara 3 Fifa Club World cup nafasi ya 2 mwaka 2010.

WYDAD ATHLETIC CLUB

Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 3, Winners Cup mara 1, CAF super Cup mara 1.

ESPERANCE DE TUNIS

Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 4, Winners Cup mara 1, Caf cup mara 1 mwaka 1997 CAF super Cup mara 1 mwaka 1995.

MAMELODY SUNDOWNS

Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 1 mwaka 2016 na mwaka 2001 waliingia fainali, CAF super Cup mara 1 mwaka 2017.

ENYIMBA

Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 2 mwaka 2003 na 2004, CAF super Cup mara 2. SIMBA SPORTS CLUB.

Nguvu Moja, Unyama Mwingi Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 0, Winners Cup mara 0, Caf confederation cup mara 0 CAF super Cup mara 0 na Fifa Club World cup hawajawahi GUSA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *