Kwa mara ya kwanza Alikiba afanya shoo na mashabiki wa Simba Sc

Mfalme na shabiki mpya wa  Simba Sc, Alikiba  huyu hapa ndani ya Uwanja wa Mkapa kwenye #SimbaDay2023 akitoa burudani ikiwemo ngoma yake ya Mnyama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *