Kundi la SautI Sol kufanya shoo ya mwisho

Kundi la muziki la Sauti Sol kutoka Kenya, wanataraji kutozaa mashabiki zao kiasi cha laki 348 itakayojumuisha na msosi katika shoo yao ya mwisho ya VIP ifikapo Novemba 2, nchini Kenya  katika ukumbi wa Uhuru Garden.

Na kwa siku ya Novemba 4, mashabiki watalazimika kulipa kiasi cha laki 113 na kwa tiketi ya Die Hard mashabiki watalipa Elfu 43 (Tiketi hizi zimeshaisha tayari)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *