Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kumekucha Simba SC

“Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine hawana shida kabisa…Glazer ni tapeli, janja janja, fitna na bahili kweli kweli! Siyo kama Ghalib ama Yusuf, wale wamenyooka, wanatupia mzigo wa Maana kwenye timu! Sisi mpaka leo Glazer hajalipia hisa zake…I repeat mpaka leo hii! Ni miaka mingapi hiyo? Unajua sababu yake? Ulidhani GSM tungemjua bila Manji kuondoka Yanga? Ukitaka kwenda peponi lazima ufe kwanza. #HK #Fighter #NjeYaBox,” ameandika Mh Dkt Hamis Kigwangalla kwenye mtandao wa X.

Nini maoni yako?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *