Baada ya taarifa za kuwa wasanii wa vichekesho Clam Vevo na Kicheche kukamatwa Katibu Mkuu wa Bodi ya Filam Dkt. Kilonzo amethibitisha kuwa walikamatwa watatu ambao ni Kicheche na Asmah ambao walikamatwa alhamisi ya wiki iliyopita na Clam alikamatwa juzi (Novemba 27).
Tayari Asmah na Kicheche wameachiwa bado Clam anamalizia taratibu za malipo.

#Bongo5