Kufanya usafi nyumba ya Ibada ni baraka

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Ruger ameweka wazi yeye ni mtu asiyeficha imani yake mbele ya Mungu.

Akipiga stori na kwenye kipindi cha 90s Babys Show, Ruger amasema “Kitu chochote ambacho mtu anafanya kwa moyo wake wote kwa ajili ya kanisa huleta baraka nyingi nakumbuka nilikuwa nikitoka nyumbani saa 11 Alfajiri kwenda kufagia kanisa.

Septemba 2022, Ruger alitangaza kupitia Instagram yake kwamba ametoa maisha yake kwa Kristo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *