Usiku wa kuamkia leo, msanii wa muziki Baba Levo ameweka wazi kuwa alikutana na @harmonize_tz na kwa sasa amekuwa mtu poa sana.
“Jana nimekutana na konde boy amekuwa mtu safi sana sikuhizi..!!!
nadhani ipo haja ya kumuweka sawa na tajiri #LUKUGA mana ni kijana wake 😂😂😂😂,” ameandika Baba Levo.