Konde Boy yupo location

CEO wa Konde Gang, Harmonize ameingia location na rapa kutoka Marekani Bobby Shmurda, ku-shoot video ya wimbo wake ‘I Made It’ ambao unaweza kupatikana kwenye albamu yake mpya ya Visti Bongo, inayotoka Novemba 24 mwaka huu.

Wiki iliyopita Harmonize alishinda tuzo tatu za Tuzo alizoshinda Harmonize ni ;- -Artist of the Year 2023 Best Music Video (Single Again),  King of the East and Bongo,Afro Bongo Flavour

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *