Konde Boy bado ana moto

Siku ya jana Harmonize aliachia ngoma tatu ambazo ni ,Tena, Dear X na Hawaniwezi. Ngoma hizo mpaka sasa zina jumla ya watazmaji 717k.


Ngoma ya kwanza kuachia Hawaniwezi ina watazamaji wapatao 284K na ipo nafasi ya nne Trending for music , ikaja Dear X, ambayo inawatazamaji 248K na ipo nafasi ya tano Trending for music, na ya mwisho kwa jana ni Tena ambayo yenyewe inawatazamaji 188K .Na ngoma zote hizi zinapatikana YouTube tu!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *