Baada ya saa chache kuweka wazi ana kolabo na Mr. Blue, Diamond ameongeza kuwa kolabo hiyo yupo pia Jay Melody na ngoma itatoka leo saa 6 usiku. Daimond amebainisha kupitia ukurasa wake wa Instagram
Hii ni kolabo ya kwanza kwa Diamond kwa toka tuanze mwaka 2024