Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Moussa Ndao ameadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kuwatolea lugha ya matusi maafisa wa benchi la Ufundi la klabu ya Simba wakati mchezo ukiendelea.
Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni ya 17:(14 & 60) ya Ligi Kuu kuhusu
Taratibu za Mchezo..