Testesi zilizopo ni kuwa Meneja wa Arsenal Mikel Arteta yuko kwenye orodha ya watu watatu walioteuliwa kuchukua nafasi ya Xavi huko Barcelona, pamoja na kocha anayeondoka wa Liverpool Jurgen Klopp na kocha wa Ujerumani Julian Nagelsmann.
Wiki iliyopita taarifa zilitoka na kudai kuwa Kocha wa Liverpool anatarajia kuondoka timu hiyo mwisho wa msimu huu