Kocha wa klabu ya soka Liverpool FC ya England, Jurgen Klopp ametangaza kuwa ataachana na timu hiyo punde tu msimu huu wa 2023/24 utakapotamatika majira ya kiangazi.
Kocha huyo alijiung na majogoo wa Ligibya EPL mwaka 2015 na mkataba waka unapaswa kutamatika 2026.