Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kocha Benchikha ataondoka leo kwenda Algeria

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Abdelhak Benchikha leo anatarajiwa kuondoka Tanzania na kwenda  nchini Algeria kwa ajili ya kushiriki kozi.

Kocha Benchikha anatarajiwa kurejea nchini kuendelea na majukumu yake baada ya siku chache, hayo yamebaibishwa na Msemaji wa Klabu hiyo.

Comments are closed.