Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kizz Daniel akanusha kulala rumande

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Kizz Daaniel amekanusha vikali madai ya kukamatwa nchini Ivory Coast na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).

Katika taarifa yake aliyochapisha kwenye ukurasa wa Instagram, Kizz anabainisha kuwa CAF sio waliomtafuta kwaajili ya kutumbuiza bali walitumia wakala na mpaka naenda kwenye shoo hakuwa amepata malipo yoyote huku wakala akidai kuwa uhamisho wa pesa kwa benki, utalisumbua.

Hata hivyo, Kizz Daniel alitumbuiza kwa dakika tatu tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *