Hafla ya utoaji Tuzo ya Ballon d’Or 2023, inatarajiwa kufanyika leo Oktoba 30, 2023, Saa 3 Usiku ambapo Mastaa wa Soka (Wanaume 30 na Wanawake 30) wanashindana katika kinyang’anyiro hicho kitakachofanyika Ukumbi wa Theatre du Chatelet – Paris, Ufaransa.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz