Kitaumana Diamond na Asake

Staa wa muziki Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika jukwaa la Afro Nation Ureno 2024 ifikapo Juni 26-28 ambapo ataungana na wasanii wengine ambao ni #Rema, #Asake, , #OmahLay , #Flavour , #SeyVibez # Tyla na wengineo.

Orodha hiyo ya wasanii imetajwa leo na tiketi za Tamasha hilo zitauzwa ifikapo Novemba 23, mwaka huu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *