Baa maarufu ya Kitambaa cheupe iliyopo TABATA Liwiti, Jijini Dar es salaam inateketekea kwa moto muda huu huku chanzo chake kikiwa bado hakijajulikana.
Jeshi la zimamoto na uokoaji tayari limefika eneo la tukio, limefanikiwa kudhibiti moto huo kutoendelea kusambaa maeneo mengine.