Kitabu cha ‘Worthy’ kutoka kwa mwanamama Jada Pinkett Smith hakiuziki mtaani kama ilivyotarajiwa na wengi.
Inaelezwa kuwa kitabu hicho kipo nafasi ya 81 kwenye tovuti ya Amazon Books, inayojihusisha kuuza vitabu duniani, na kimeshindwa kushika nafasi 100 bora kwenye chati ya Kindle e-reader.
