Kiredio apigwa na wasiojulikana

Mwanamitandao ambaye pia ni mchekeshaji kutoka hapa Tanzania, Kiredio ameshare picha katika ukurasa wake wa Instagram na kubainisha kuwa amepigwa na watu watatu ambao ameshindwa kuwa tambua (wasiojulikana) wakati anashoot maudhui yake ya mitandaoni.

Hivi karibuni, msanii huyo alifanya maudhui ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam ambaye aliletewa zawadi ya gari na alitakiwa kusema ni jina la mpenzi wake ambaye amemnunulia gari hilo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *