Kipindupindu chaua wanne familia moja Kagera

Watu wanne wa familia moja wamefariki kwa ugonjwa wa Kipindupindu katika wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.

Mkuu wa mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa ametangaza uwepo wa mlipuko wa ugonjwa huo huku chanzo cha ugonjwa huo ni kutoka nje ya nchi ambapo pia amewataka wakazi wa mkoa wa Kagera kuendelea kuchukua tahadhari hasa kipindi hiki cha mvua.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *