Kimeumana penzi la Vera na Mauzo

Jini mkata kamba tayari ameshakata kamba ya mahusiano ya Mwanamitandao Vera Sidika na mwimbaji wa muziki Brown Mauzo. Ambapo rasmi leo msanii huyo amethibitisha kuachana na mrembo huyo ambaye ni mzazi mwenzake baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa wawili hao wameachana.

Kwa mujibu wa maelezo ya Mauzo amesema wamefikia makubaliano ya kuachana na wataendelea na malezi ya pamoja ya watoto wao wawili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *