Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kim na Kanye wakutana

Ijumaa iliyopita rapa Kanye West na aliyekuwa nke wake Kim Kardashian walikutana pamoja kwenye mchezo wa mpira wa kikapu wa mtoto wao Saint huko Los Angeles.

Wawili hao walionekana wakifanya mazungumzo huku binti yao Chicago akiwa karibu yao.

Baada ya mazungumzo wawili hao walikaa viti mbalimbali kidogo ilikuepusha minong’ono ya mapaparazi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *