Kim Kardashian ajiweka kwa Neymar Jr

Siku chache baada ya rapa Cardi B kuonekana akitangaza bidhaa za SKIMS, kutoka kwa Kim Kardashian. Hatimaye msaka kabumbu la kulipwa kutoka Brazil, Neymar Jr pia ameonekana akitangaza biashara za nguo ya mrembo huyo.

Bidhaa hizo za SKIMS, zinatarajiwa kuingia sokoni Oktoba 26 mwaka huu. Na zinakadiriwa kuuzwa kuanzia $16 – $54 sawa na Tsh/=40,000 hadi 135,000 hapa inategema na bidhaa pia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *