Rasmi mwanadada na mwanamitindo Kim Kardashian amezindua nguo zake za ndani, ambazo ameingia ushirikiano wa SKIMS (kampuni yake) na NBA.

Kwa sasa kampuni hiyo ya mavazi ya Kim, ndiyo mshirika rasmi wa nguo za ndani kwa Ligi ya NBA na WNBA pamoja na @Usabasketball
