Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu Salumu Mohamedi kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kupatikana na bangi kilo 14, ambazo Mtuhumiwa alikamatwa nazo Agosti 09, 2023 katika kijiji cha Mipingo wilaya ya Lindi na kufikishwa mahakamani Agosti 15, 2023 ambapo alisomewa shitaka lake.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz