Kifo cha Mohbad ni mtaji kwa baba yake?

Taarifa zilizopo sasa ni kuwa Baba mzazi wa marehemu Mohbad, Mzee Joseph Aloba, anadiwa kutoza kati ya Naira10000 mpaka Naira 15000 sawa na Tsh 31,688.80 mpaka Tsh/= 47,533.21 ili kufanya mahojiano na waandishi kuelezea kifo cha kijana wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *