Hiki ndio kikosi cha TP Mazembe kinachoivaa Yanga leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa kumi jioni, Kikosi hiko kina wachezaji wafuatao Badara Faty, Ibrahima Keita, Johnson Atibu, Cheikh Fofana, Osca Kabwit, Boaz Ngalamulume, Faveurdi Bongeli, Soze Zemanga, Ernest Luzolo, Magloire Ntambwe na Basile Konga.
Upande wa Subbs ni Siadi, Mbaye, Rajabu, Mwamba, Zon, Assani, Diouf, Lumbu na Madinda. Kocha Mkuu akiwa ni Lamine Ndiaye…