Msanii wa muziki na mtangazaji Baba Levo ameweka wazi kuwa kesi aliyomfungulia msanii wa muziki, Harmonize inatarajiwa kuanza kusikilizwa Mahakamani.
Wiki kadhaa Baba Levo alidai kufanyia unyanyasi wa kimwili(Kupigwa) na Harmonize wakiwa sehemu ya starehe mjini Posta, Dar Es Salaam.
Somo Kubwa Sana Litatokea kwenye Hii Kesi…!!
Wale Waliosema Sikupigwa vizuri Ningevunjwa Pua Kabisa..!! Watajifunza Mengi Kwenye Hii Kesi Naamini Itakuwa Njia Pekee Ya Kuacha Kumpa Mtu Kichwa Kwenye MAOVU..!!🙏🙏🙏🙏
Naamini Itakuwa Mwanzo Na Mwisho Kijana Kunyanyua Mkono Wake Kumpiga Mtu..!!!