Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kenya ndio nchi inayoongoza kwa ukarimu

Kenya imetajwa kuwa ndio nchi kutoka Afrika inayoongoza kwa ukarimu ikiwa ni pamoja na kuchangia misaada, kusaidia wageni au kujitolea wakati wao.

Indonesia ndilo taifa ambalo linakisiwa kuwa na watu wakarimu zaidi duniani ikifuatiwa na Ukraine na Kenya ikishika nafasi ya tatu katika ngazi ya dunia. Hii ni kwa mujibu wa wakfu wa kutoa misaada ya kibinadam wa The Charities Aid Foundation (CAF).

Uchunguzi wa mwaka huu ulikusanya maoni kutoka nchi 142 duniani ambako watu waliulizwa maswali matatu. ikiwemo je umewahi kumsaidia mgeni?

Nchi nyingine nyingine za Afrika zilizoingia katika orodha ya kumi bora ni pamoja na Liberia nafasi ya nne na Nigeria nafasi ya tisa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *