Rapa Kendrick Lamar anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha Global Citizen ifikapo Desemba 6, mwaka huu.
Tamasha hili ambalo lipo chini ya Move Afrika: litafanyika nchini Rwanda katika uwanja wa BK Arena ndani ya mji mkuu wa nchi hiyo, Kigali.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz